Makosa yaliofanyika miaka 15 iliyopita, yanakuwa chanzo cha misukosuko, furaha na mapenzi ya dhati kati ya familia mbili.