Mambo yanabadilika kila mtu anachuma alichokipanda, Dev na Tima wanarudisha mahusiano yao huku hatma ya wengine haijulikani.